Jeremiah 47:6-7


6 a“Mnalia, ‘Aa, upanga wa Bwana,
utaendelea mpaka lini ndipo upumzike?
Rudi ndani ya ala yako;
acha na utulie.’
7 bLakini upanga utatuliaje
wakati Bwana ameuamuru,
wakati ameuagiza kuishambulia Ashkeloni
pamoja na pwani yake?”
Copyright information for SwhNEN